Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,802
MVP bishoo [emoji23]Chavo Guerrero
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Tatizo nikitaka kusema nakua kama namuona Ney usoni mwangu
HahahahaMVP bishoo [emoji23]
Hahah! Kitambo sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Bas ushajua ulikuwa hutaki kusema tuu
HahahaHahah! Kitambo sana
Nilikua mdau sana ila nikajapotezea sasa hivi nikiangalia naona wageni wepi pia ata radha hakuna kama zamaniHahahaha
Bro kumbe ulikuwa una angalia eleka za sku hizo eeh?
Eeeh halaf sku hizi imekuwa soft watu wanapigana wanatoka wanacheka tuu[emoji1]Nilikua mdau sana ila nikajapotezea sasa hivi nikiangalia naona wageni wepi pia ata radha hakuna kama zamani
I du noti no what z going on between you two, but i know what is in your heart [emoji23]Hahaha
Uongooo ulikuwa hata hujastukaga
Siumeona sasa drama nyingi, zamani wakina Stone cold wanatoka wamepasuka vichwa wanabebwa na machelaEeeh halaf sku hizi imekuwa soft watu wanapigana wanatoka wanacheka tuu[emoji1]
That shit hainishawishi now
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]I du noti no what z going on between you two, but i know what is in your heart [emoji23]
Stone cold steve austimSiumeona sasa drama nyingi, zamani wakina Stone cold wanatoka wamepasuka vichwa wanabebwa na machela
Hahah!![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kijana ume analyse vzuri ndio huwa nakukubali sana
I my self dont even know whats going on[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!!
There is something you ar just hiding here...
Be free for the sake of your health bro [emoji23][emoji23]
Hahah!! Mchezo umeshaharibika huu, ata zile special days kama Royal Rumbel sijui mr money in the bank, last man stand, I quit na mengine mengi ni utoto mtupu...Stone cold steve austim
We kweli ni mdau jamaa wamikuwa wana pigana kama na vipipa
Sku hizi mtu anatoka kwenye mieleka anaeza hadi kuhudhuria harusi yaa. Bata tuu hata jasho haliwatoki
Thay shit is fake AF
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahah!! Mchezo umeshaharibika huu, ata zile special days kama Royal Rumbel sijui mr money in the bank, last man stand, I quit na mengine mengi ni utoto mtupu...