Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah!! Zile fujo

Yule jamaa naona anakujaga kwa malengo maalumu tu kupush posts na kula likes na kwasiku kishajiwekea hesabu atakua anapost idadi kadhaa [emoji23]
Uzi huu, kama ilivyo popote pale, ni kuvumiliana tu kwa sababu kila mtu na lwake. Na tofauti zetu hizi ndiyo raha yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…