Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
hahahahaha.Hahah ngoja niwe mpenzi mtazamaji tu
Uwe na mchana mwemamimi muzima sana sis.
AiseeeIla kweli mna akilo sawa maana mkipata likes 50 tu mshascreenshot na kubandika hapa mnanichekeshaga[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]sio mie niloesema
Kasinge naiwe, Nawapa hai wote, wengine siku 2 tatu hivi hatujapeana haiSema kamanda. Naona leo umejipa jukumu la kusalimia kila mtu humu. Safi sana kwa wema huo. Wakora !!!
Duh! Nini tena kimetokea hapo aiseeBinadamu siye [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 780595
Nawewe pia sis.Uwe na mchana mwema
Maiti hiyo inasafirishwa kwa bodaboda mkuu...Duh! Nini tena kimetokea hapo aisee
Unatoa siri za shekhe Yahaya ama?B:Kama kidole chako cha pete ni kifupi zaidi ya kidole chako cha shahada , inadaiwa kuwa unajiheshimu na usiyejiamini ulivyo, Na hupenda kufurahia muda wako na hupata hasira pale mtu anapoingilia faragha yako. Wewe ni bora katika kupokea upendo kuliko kutoa upendo kwa wengine, kwa maana ya kuwa wewe ni ngumu kuchukua hatua katika maisha yako ya kimapenzi.