Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Nipo mkuu,, mitikasi tu za hapa na pale, ila tupo pamojaKwema chief ulipotea
Nipo mkuu,, mitikasi tu za hapa na pale, ila tupo pamojaKwema chief ulipotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kutokuwa na akili tu. Kwani nguvu za kiume hadi umfanye kama hujisikii je? Maana mapenzi ni hisia kama huna hisia naye anataka ufanye nini.Uko katika kundi la wachache. Wengine utaenda kuzushiwa upungufu wa nguvu za kiume na hata mengine mabaya zaidi. Sad !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ShemBroooo...
Dah...
Mapenzi bana basi tu....
Kweli bro, inakuwa na uzito flani hv wa tofauti kidogo, [emoji16] [emoji16] [emoji16]Ndiyo namuona anatabasamu lakini nikisikia kutoka kwako inapendeza zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
Woyoooo mambo ni malavidaviiiI put a spell on you
Because you are mine [emoji8][emoji8]
Nafikiri ni fikra na dhana potofu na ukweli ni kwamba ni mawazo yasiyo na tija kabisaWanakosea sana. Mdabuo is not everything. Actually is not even that important ukilinganishwa na undugu na urafiki uliosimikwa katika heshima na upendo. Watu mnakutana mnaongea mambo ya maana kuhusu ujasiriamali, maisha na mengineyo. Huwa sielewi why focus kuu ni mdabuo tu. Wengine mkikutana ukamwacha hivi hivi eti anakushangaa hata kwenda kukusema vibaya mtaani.[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kwema shemeji, za kwako?Habari ya kuamka wapendwa wa Mungu
Leo gori la Alex Sanchez kama naliona vile,,Mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial na Alexandre Lacazette wa Arsenal wameachwa nje ya kikosi cha Ufaransa kitakachoshiriki Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka huu.
Martial, 22, ameshinda mataji 18 na kuanza katika kikosi kilichoshinda kwa mabao 3-1 wakati wa mechi ya kirafiki na Urusi mwezi Machi.
Lacazette, 26, alishinda taji la mwisho kati ya 16 wakati wa mechi ya kirafiki na Ujerumani mwezi Novemba.
Kiungo wa kati wa Marseille Dimitri Payet hayuko kwenye kikosi hicho cha Ufaransa.
GGMu ushindi wa leo mtamuLeo gori la Alex Sanchez kama naliona vile,,
GGMU
Morning numbisa
KIMSINGI Bro tunahitaji kupenda na kupendwa, pia upendo ni jambo linalo chochea kuimarika kiafya na kifikra pia kuyafurahia maisha kwa ujumla wakeBroooo...
Dah...
Mapenzi bana basi tu....
Hakika aisee,GGMu ushindi wa leo mtamu
Gmorning ninge