Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sababu alikua heart broken vipisi vipisi
Sasa sisi ndiyo tulikuwa wasaidizi kuunganisha hivyo vipisi ama? CHACHAWA hoyeeeeeeee !!! Yego hoyeeee !!![emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Bro bro wat about ya avatar no change at olu or u have a big suprise? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa nimekushindwa toooh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poti wako yaani hovyo sana aisee. Mbwembwe nyingi tu na ligi kibao mitandaoni lakini ukimzukia laivu anapotea hata JF hapa analog off akiogopa pengine utaweza kumtrack. Wiki mbili Mwanza namsaka bila saksesi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Sabasaba jijini Mwanza, Dotto Baraka (13) amefariki dunia baada ya kulipukiwa na betri ya simu aliyokuwa akiiunganisha na radio chakavu.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leo Mei 18, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema tukio hilo limetokea Mei 17 mtaa wa Igoma Mashariki jijini Mwanza.
 
Poti wako yaani hovyo sana aisee. Mbwembwe nyingi tu na ligi kibao mitandaoni lakini ukimzukia laivu anapotea hata JF hapa analog off akiogopa pengine utaweza kumtrack. Wiki mbili Mwanza namsaka bila saksesi...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
2018-03-03%2000.51.27%201726438154817737038_202586564.jpg

By Bishop T.D. Jakes
 
Baada ya kutoka shuleni, marehemu akiwa na watoto wenzake alianza kutengeneza radio chakavu kwa kuchukua betri ya simu na kuunganisha kwenye nyanya za radio hiyo akitumia mdomo ndipo mlipuko ulipotokea na kusababisha kifo chake," amesema Kamanda Msangi

Amesema mlipuko huo ulisambaratisha mdomo, taya, meno na koo la marehemu aliyefia njiani wakati majirani wakijaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza hospitali.
 
Kamanda Msangi amesema wakati tukio hilo linatokea, wazazi wa watoto hao walikuwa safarini, wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Amesema hakuna mtoto mwingine aliyejeruhiwa katika tukio hilo.

Kamanda Msangi amewaomba wazazi kuwa makini wanapowaacha watoto majumbani wenyewe kwa kuwakanya kuepuka kuchezea vitu vinavyoweza kuhatarisha maisha yao na mali.

Mwili marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya Mkoa wa Mwanza, Sekou-toure kwa ajili ya uchunguzi zaidi kabla ya kukabidhiwa kwa familia, kwa ajili ya mazishi.
 
Back
Top Bottom