Salama Omarionhabari za asubuhi tanzania, habari za asubuhi JF, habari za asubuhi wadau wa uzi huu pendwa?
Mungu atufanyie wepesi kwa kila namna tunayoipitia,
kwa wenzetu waislamu niwatakie mfungo mwema 'allah akbar'
safi sana, asubuhi njema kwako.Salama Omarion
Salama Omarion za kwako?habari za asubuhi tanzania, habari za asubuhi JF, habari za asubuhi wadau wa uzi huu pendwa?
Mungu atufanyie wepesi kwa kila namna tunayoipitia,
kwa wenzetu waislamu niwatakie mfungo mwema 'allah akbar'
Mie natafuta ubuyu tuSawasawa... Mie nagonga likes tu
Mie natafuta ubuyu tuSawasawa... Mie nagonga likes tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaleta balaa sasa
Na kwako piasafi sana, asubuhi njema kwako.
za kwangu nzuri sana Mungu dereva, asubuhi njema kwako LEDADA.Salama Omarion za kwako?
Amen [emoji120] [emoji120]