Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena kwa lazima
 
Lakini kama mgonjwa atakuwa amepungukiwa na maji mwilini, kuna njia mbadala ya kumsaidia ambayo ni ya kumuongezea maji na kama itakuwa imepasuka kupita kiasi huchomwa sindano.

Inaelezwa kuwa hatua nyingine ya kutibu tatizo hilo ni pamoja na kunywa maji mara kwa mara na kama muathirika atakuwa anaupungufu wa maji, ataongezewa na wakati mwingine madaktari humfanyia uchunguzi wa kina ili kuhakikisha tatizo hilo linamalizika.
 
Unawezaje kuuzuia ugonjwa huo wa kupasuka midomo.

Siku zote wataalamu wa afya wanasema kinga ni bora zaidi kuliko tiba.

Hivyo, inashauriwa kama yalivyo maradhi mengine, ugonjwa wa kupasuka midomo unaweza kuzuilika.
 
Inashauriwa mtu kujipaka mafuta maalumu ya midomo ya kujikinga na jua kama mtu unatoka nje kwenye mazingira ya jua kali au baridi na upepo mkali, kunywa vitu vingi vyenye majimaji, kupaka mafuta ya midomo hasa yenye vitamin E na Alovera, hiyo ni njia nzuri ya kuzuia midomo kupasuka.

Mtu anashauriwa kutumia mafuta maalumu ya midomo iliyowekwa radha mbalimbali za matunda ambazo humshawishi kujilamba midomo yake kila mara.
 
Madhara ambayo yanaweza kutokea kutokana na kuwa na midomo iliyokauka ni pamoja na mgonjwa kuugua kwa muda mrefu na wakati mwingine ugonjwa huo unaweza kumrudia mara kwa mara kutokana na ngozi yake kuwa kavu kwa muda mrefu kutokana na ngozi ya mwili nayo kuwa kavu kwa muda mrefu kwasababu ya kukosa homoni ya tezi.
 
Back
Top Bottom