Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tiba ya ugonjwa huo ni ipi?

Kila ugonjwa huwa na tiba yake kwa lengo la kuutuliza au kuumaliza kabisa.

Dk Kaganda anasema tiba ya awali isiyo na gharama kwa muathirika ni pamoja na kutumia chakula chenye vitamin C na E.

“Tiba ya mapema ambayo haimgharimu mtu ni ya kutumia mboga za Majani, matunda na atumie tiba lishe ya Vitamini C au atumie mafuta ya vaselini kwa kuipaka midomo yake ili isikauke sana, kwani ikikauka sana itamsababishia maumivu zaidi,” anasema Dk huyo.
 
Lakini kama mgonjwa atakuwa amepungukiwa na maji mwilini, kuna njia mbadala ya kumsaidia ambayo ni ya kumuongezea maji na kama itakuwa imepasuka kupita kiasi huchomwa sindano.

Inaelezwa kuwa hatua nyingine ya kutibu tatizo hilo ni pamoja na kunywa maji mara kwa mara na kama muathirika atakuwa anaupungufu wa maji, ataongezewa na wakati mwingine madaktari humfanyia uchunguzi wa kina ili kuhakikisha tatizo hilo linamalizika.
 
Sasa sisi ndiyo tulikuwa wasaidizi kuunganisha hivyo vipisi ama? CHACHAWA hoyeeeeeeee !!! Yego hoyeeee !!![emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji813]
Screenshot_20170901-110808.jpg
 
Back
Top Bottom