Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hamna bro
Kuzindua kunatoa taarifa kwa wengine kuwa wasiguse
Mzinduaji na mzindukiwaji must responsible for their own deeds.

[emoji23]
 
Hahahahaha kitoooooooo kamu this way usikie mkwara wa shimba

Hii style ya uzinduzi waliiga kwa nifah na bold baasi watu wakataman na kuanzosha kapo mpya kila konaaa na uzinduzi wa mbwembwe na ma dedication. Bora kapo za humu wala hazitoki nje na kufatana fatana kama mkojo wa asubuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…