myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Shimba anadandia mahari eeeh!?
Shimba huwa anadai mahari kwa dada zake tu akina bageshi. Kwa wengine hawa ukiona ni mbwembwe tu..
Na kwa rekodi nimeshadai mahari kwa dada zangu wawili tu:
Nsamaka (Mwakalaleli alilipa nusu 15 akatupiga)
Baby S (Mpare bahili kagoma kutoa anataka eti tukachukue bata wakati ng'ombe anao)
Sammy Luv (nilikuwa kwenye mikakati ya kudai ila KK akachomoa dada akahamia kwa QUIGLEY napo wakakorofishana dada akapotea kabla hatujapewa anything)
Iceman 3D kwa Carba abebe tu mi sitadai cho chote kwa sababu sihusiki kwa namna yo yote. Mniacheeee [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Siku nikila mahari za kuolewa kwako nahama na uzi huu jumla hamtaniona tena na maumbea yenu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Koromije bana[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sometimes..........Sometimes football is all about luck
Uzi wa forex kule kuna ubuyu wa kizungu umeitwa nenda uje kunitafsiriaAsante
Naona ulitaka kula na ya kitooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] iceman akashtukaSiku nikila mahari za kuolewa kwako nahama na uzi huu jumla hamtaniona tena na maumbea yenu...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Siku nikila mahari za kuolewa kwako nahama na uzi huu jumla hamtaniona tena na maumbea yenu...
Ngoja niitafute notificationUzi wa forex kule kuna ubuyu wa kizungu umeitwa nenda uje kunitafsiria
Salam hizi zimfikie......
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Iceman 3D[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Tangu lini mi nikawa shabiki wa mpira? Nakuona unanipiga nyundo za uhakika na vimafumbo vyako. Siyo vizuri hivyo jirani...He!! Nilijua unaangalia FA..
Simba mwenda pole...as usual....Jiraniiii...Usijali jirani...gari halijipandi lenyewe[emoji16][emoji16][emoji16]
Uzuri wa shemejio kipenzi hana neno..yuko tayari kwa loloteIceman 3D[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Unapewa pole ya nini? Kufungwa na Chelsea ama?Asante
just kiss me slow your love is all i own................... ed sheeran
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa 0 Chelsea 1