Oya bobUsidownload Porngraph kwenye WI-FI ya msikiti
Mi ni mtu wa tafiti na data kwa hiyo taarifa kwangu ni muhimu sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unakusanya info za nini bosi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi ni mtu wa tafiti na data kwa hiyo taarifa kwangu ni muhimu sana
Fresh sanaOya bob
Nambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekushindwa ujue kijana
Hamna wale ni wanyama washughulikiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usifike huko tafadhali
Bro umepanicShimba anadandia mahari eeeh!?
Shimba huwa anadai mahari kwa dada zake tu akina bageshi. Kwa wengine hawa ukiona ni mbwembwe tu..
Na kwa rekodi nimeshadai mahari kwa dada zangu wawili tu:
Nsamaka (Mwakalaleli alilipa nusu 15 akatupiga)
Baby S (Mpare bahili kagoma kutoa anataka eti tukachukue bata wakati ng'ombe anao)
Sammy Luv (nilikuwa kwenye mikakati ya kudai ila KK akachomoa dada akahamia kwa QUIGLEY napo wakakorofishana dada akapotea kabla hatujapewa anything)
Iceman 3D kwa Carba abebe tu mi sitadai cho chote kwa sababu sihusiki kwa namna yo yote. Mniacheeee [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona ulitaka kula na ya kitooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] iceman akashtuka
Muulize Jje s anajua alikoI michi yuu[emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 781445