Na bado tajiri hajakuandalia visa ili asikulipe mshahara wote wa mwezi.Namchunga nani mkuu. Nazungumzia ulinzi wa usiku kulinda mali za matajiri. Siyo wote tunalala nyie mkilala. Mkilala sisi wengine ndiyo kunakucha (and vice versa). Sasa ndo najiandaa kuuchapa usingizi sasa japo kwa masaa matano sita hivi. Maisha!
Mkuu kwema?
Pumzika salama mkuuNaomba nikwachie usukani nitarudi
Nilijua unachunga familia yako..kama ni kazi hamna neno..kikupacho riziki ndio chakoNamchunga nani mkuu. Nazungumzia ulinzi wa usiku kulinda mali za matajiri. Siyo wote tunalala nyie mkilala. Mkilala sisi wengine ndiyo kunakucha (and vice versa). Sasa ndo najiandaa kuuchapa usingizi sasa japo kwa masaa matano sita hivi. Maisha!
Habari ya asubuhi mkuuToa likes upate likes
Salama mkuu..kumekuchaHabari ya asubuhi mkuu
Good morning dada...Good morning! Niwekee likes na wewe post nikuwekee likes!
Good morning shimba ya buyenzeMpaka kwenye asilimia 100 Amen. Hiyo sentensi ya mwisho ya madikodiko ishindwe na ilegee! [emoji23][emoji23][emoji23]
DAH! polee sana mkuu maisha yenyewe ndo haya ayaNipo mkuu hata sijalala. Kazi za ulinzi ni ngumu sana!
Mungu ni mkubwa, katuamsha tenaSalama mkuu..kumekucha
Morning mkuuMorning all