Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180515-132225.jpg
 
Unapokuwa umeajiriwa utasikia habari nyingi sana za kujiajiri tena wengine wakikuelezea mafanikio yao toka wamejiajiri na wakiponda walivyokuwa wameajiriwa.Nisikilize hapo ulipo usiache kazi mtaani ni kugumu usidanganywe fanya kazi uliyonayo leo kwa malengo na jiwekee akiba
 
Back
Top Bottom