Leo mvua tangu asubuhi non stop. Mpaka kuna flooding ndogo ndogo. Kwa vile ni Jumapili basi ni kuchoma nyama tu na kufurahi. It is a good day. Vipi huko?Exactly!!
Kwema Bro! Vp mitikasi huko kolomije zinaenda? hali ya hewa vp huko
Bro pambana na hali yako. Nobody is coming to save you [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]But Carba acts like she doesnt care
View attachment 782197
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utazoea tu,na ukizoea utapenda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaah! Kuzoea sana hapo
Utakuwa Hujaelewa wanamaanisha nn kakaWhat kinda relationship is that
[emoji125][emoji125][emoji125]Konokono aliyeishiwa na utelezi hupata maumivu makali sana kurudi gambani mwake.
Kila nikiona neno parachichi namkumbuka mzee wa mwakaleli,huu uzi hovyo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji42]FAIDA YA TUNDA PARACHICHI (AVOCADO)
Ndani ya tunda hili kuna maji kiasi kidogo sana ukilinganisha na matunda mengine lakini kuna mafuta mengi na unaweza kuchanganya kula na tunda lingine kama vile apple, ndizi, chungwa au hata maziwa kwa kutengeneza juisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maparachichi yana mafuta yasiyo na madhara
Imefanyaje BroBro...
Hii dunia hii...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan ni shida na neno konokonoKila nikiona neno parachichi namkumbuka mzee wa mwakaleli,huu uzi hovyo kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji42]
mambo si mamboHebu fikiria,tumejitangaza kwa mbwembwe humu hatuachani na showoff kibao mwisho wa siku tumeachana ukifikiria zile drama zenu za humu unaachaje kubadili id ama kukimbia jf?
By the way,i hate you[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Hako kapicha kananifurahisha,mashavu ya huyo mtoto tu[emoji23][emoji23][emoji23]But Carba acts like she doesnt care
View attachment 782197
Wakati mwingine ni vyema kujikubali kwa nafasi unayopewa ndani ya maisha ya mtu,haina haja ya kulazimishaKabsa carba,ukilazimisha utajuta
Mambo vp lakn, uko poa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku safi pia bro, jua kidogo na mawingu ya mvua kwa mbali,basi hali hewa ilikuwa safi kabsaLeo mvua tangu asubuhi non stop. Mpaka kuna flooding ndogo ndogo. Kwa vile ni Jumapili basi ni kuchoma nyama tu na kufurahi. It is a good day. Vipi huko?