Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

What kinda relationship is that
Wanajaribu kuelezea kuwa kwenye relationshp nyingi habari za msosi, znakuwa discussd muda mwingi sana

Mfano,,
Mpenz wako anakutxt
"msosi gani unakula/umekula,"
"tayali umeshakula chakula"
"unakuja home saa ngapi, nikupikie chakula gani"
"hapa mjini ni mahali gani anapika chakula kizuri"

Hope umenielewa sasa, kuwa mambo ya msosi yana asilimia kubwa
 
theoretical physics & science philosophy
 

Attachments

  • Albert-Einstein-quotes-Genius1.jpg
    Albert-Einstein-quotes-Genius1.jpg
    288 KB · Views: 25
FAIDA ZA PARACHICHI
Licha ya binadamu kufaidika na virutubisho vya tunda hili kuna faida nyingi za parachichi kama vile majani ya mti wake pamoja na magamba, baadhi ya watu hutumia kutibu maradhi ya kuharisha.

Majani na magamba hayo hutibu pia tatizo la gesi tumboni, kutuliza kikohozi pamoja na matatizo ya ini na kusafisha njia ya mkojo.

Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa dawa za mitishamba, dawa hii haifai kutumiwa na wanawake ambao wana mimba kwani wakitumia inaweza kusababisha kuharibika kwa ujauzito.
Hili parachichi toka limeanza kuzungumzwa [emoji23]
 
Back
Top Bottom