carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Acha kunikumbusha basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]kama hvoView attachment 782202
[emoji23][emoji23]kama hvoView attachment 782202
Ana semaWanajaribu kuelezea kuwa kwenye relationshp nyingi habari za msosi, znakuwa discussd muda mwingi sana
Mfano,,
Mpenz wako anakutxt
"msosi gani unakula/umekula,"
"tayali umeshakula chakula"
"unakuja home saa ngapi, nikupikie chakula gani"
"hapa mjini ni mahali gani anapika chakula kizuri"
Hope umenielewa sasa, kuwa mambo ya msosi yana asilimia kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unakumbuka nn carbaAcha kunikumbusha basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kesho ni jumatatu[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unakumbuka nn carba
Hiyo ni oviazi bro. Nyama choma na mvinyo mwekundu laini vina urafiki mzuri bro.Yaani Unachoma nyama peke yake, hakuna na kinywaji chochote bro, kama maji,soda hivi, ili nyama ipite vzr kooni
Halafu iweje sasa! kesho kapambane [emoji23][emoji23][emoji23]I'm not ready[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 782205
Wewe ni mwalimu wa kizungu??Ana sema
"Figuring out where to eat"
Kuna mawili either wewe ume i over translate au wao wame over state
Hahahahah mambo ya weekend hayo, furaha ya hyo kitu wanaenjoy ngozi nyeupe aisee,,, unakuta kwenye jiko kuna nyama ya kutosha basi muda wote wanaichoma ile nyama huku wanainyunyuzia na hayo mivinyo,,Hiyo ni oviazi bro. Nyama choma na mvinyo mwekundu laini vina urafiki mzuri bro.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]sijui kwanini nilikua mkubwa[emoji17][emoji17]Halafu iweje sasa! kesho kapambane [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124][emoji124][emoji124]View attachment 782207