Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilha de Queimada Grande au "Kisiwa cha nyoka" kipo yapata maili 90 hivi kutoka kwenye jili la São Paulo nchini Brazil.

Inakadiriwa kuwa wapo nyoka 2,000 wanaoishi katika kisiwa hicho chenye ukubwa wa meta za mraba 430,000 kwa hivyo kuna nyoka mmoja kila unapokaribia kumaliza meta za mraba kati ya moja hadi tano.

Katika kisiwa hicho ndipo anakopatikana pekee mmoja wa nyoka wenye sumu kali kabisa duniani, Golden Lancehead Viper (Bothrops insularis). Wataalamu wanasema sumu ya nyoka huyo ina nguvu karibu mara tano ya nyoka yeyote anayepatikana katika ardhi ya dunia kiasi cha kuweza kuyenyusha nyama ya mwili wa mwanadamu.
 
Nyoka hawa hupata chakula chao kutokana na kuwala ndege wanaohama hama na kufanya kisiwa hicho kuwa sehemu yao ya mapumziko bila kujua hatari inayowakabili.

Jeshi la Wanamaji la Brazili limepiga marufuku kwa yeyote kutua ama kutia nanga katika kisiwa hicho, isipokuwa tu kwa watafiti wa kisayansi wenye ruhusa maalum.
 
Fomyula yake ya E =MC2 ndiyo ilifunua siri ya jinsi mass kidogo tu inavyoweza kutoa nguvu kubwa za kutisha. Baada ya fomyula hii tafiti za wanasayansi wenzake kama akina Enrico Fermi, Marie Currie na Niels Bohr zilionyesha uwezekano wa kutumia kiasi kidogo tu cha elementi nunurishi (radioactive elements) kama Uranium na Plutonium ili kuweza kuzalisha nguvu za kutisha. Tayari Adolf Hitler alikuwa ameanza utafiti huo na Albert Einstein na mwanasayansi mwenzake walimwandikia barua rais wa Marekani kuhusu uwezekano wa kuunda bomu hatari lenye kuangamiza kabisa kabisa. Ili kumzuia Hitler asiwe na bomu la aina hiyo Marekani iliwekeza haraka haraka katika uundaji wa bomu la aina hiyo katika mradi wa siri sana uliopachikwa jina la Manhattan Project. Wanasayansi wa mradi huu wakiongozwa na Mjerumani aliyeitwa Oppenheimer ndiyo walifanikiwa kuunda mabomu yale ya mwanzo mwanzo yaliyodondoshwa Nagasaki na Hiroshima na kukata ngebe ya Wajapan na kuvikomesha vita vya pili vya dunia mara moja.
daah! aisee shukrani sana bro,

sina cha kukulipa Mungu akuzidishie tu ya hapo.
 
32255837_2057966697803647_1293732484147576832_n.jpg
 
Here's the thing about people with good hearts. They give you excuses when you don't explain yourself. They accept apologies you don't give. They see the best in you when you don't need them to. At your worst, they lift you up, even if it means putting their priorities aside. The word "busy" does not exist in their dictionary. They make time, even when you don't. And you wonder why they're the most sensitive people. You wonder why they're the most caring people. You wonder why they are willing to give so much of themselves with no expectations in return. You wonder why their existence is not so essential to their well-being. It's because they don't make you work hard for the attention they give you. They accept the love they think they've earned and you accept the love you think you're entitled to. Let me tell you something. Fear the day when a good heart gives up on you. Our skies don't become gray out of nowhere. Our sunshine does not allow darkness to take over for no reason. A heart does not turn cold unless it's been treated with coldness for a while.
 
Back
Top Bottom