Safi sana bro, kama una nondo zaidi drop tujifunze pamoja (sharing is caring) barikiwaa.E=MC2. Albert Einstein. Enrico Fermi. Manhattan Project. Harry Truman. Enola Gay. Little Boy. Mwisho wa WWII...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro ndugu muingilie kati basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alll you saw was the picture!!
[emoji23] [emoji23]
Am out
[emoji124]
Nilikwambia hata mahali mi sihusiki ukanitupia dongo eti nimepaniki. Unafikiri nimesahau? Pambana na hali yako bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bro ndugu muingilie kati basi
Wanajaribu kuelezea kuwa kwenye relationshp nyingi habari za msosi, znakuwa discussd muda mwingi sanaWhat kinda relationship is that
Unataka kujua nini bro? Niliyoweka hapo ni summary ya mtiririko mzima wa hilo bomu na jenzake la Nagasaki.Safi sana bro, kama una nondo zaidi drop tujifunze pamoja (sharing is caring) barikiwaa.
[emoji23][emoji23]kama hvoDaah!kesho jumatatu[emoji24][emoji24][emoji24]
Yaani Unachoma nyama peke yake, hakuna na kinywaji chochote bro, kama maji,soda hivi, ili nyama ipite vzr kooniNyama kavu kavu...Wamaanisha nini bro?
Nataka kujua Albert Einstein yeye ndio ana husika na formula ya hilo bomb la HIROSHIMA?Unataka kujua nini bro? Niliyoweka hapo ni summary ya mtiririko mzima wa hilo bomu na jenzake la Nagasaki.
Hili parachichi toka limeanza kuzungumzwa [emoji23]FAIDA ZA PARACHICHI
Licha ya binadamu kufaidika na virutubisho vya tunda hili kuna faida nyingi za parachichi kama vile majani ya mti wake pamoja na magamba, baadhi ya watu hutumia kutibu maradhi ya kuharisha.
Majani na magamba hayo hutibu pia tatizo la gesi tumboni, kutuliza kikohozi pamoja na matatizo ya ini na kusafisha njia ya mkojo.
Hata hivyo, kwa mujibu wa wataalamu wa dawa za mitishamba, dawa hii haifai kutumiwa na wanawake ambao wana mimba kwani wakitumia inaweza kusababisha kuharibika kwa ujauzito.