Nawapongeza lakini sidhani kama walistahili kushinda. Nawapongeza. Mimi ni kocha wa Manchester United na inabidi niwe na heshima kwao, sio kwa sababu wao ni timu yangu ya zamani, hapana, ni kwa sababu walikuwa wapinzani wangu leo na nadhani tulistahili kushinda. Nadhani tulikuwa timu bora lakini hivyo ndivyo soka lilivyo,” alisema Mourinho.