Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji124]
IMG_20180521_130643_704.jpg
 
Library za huku jaman acha tuwe wavivu wa kujosomea. Nilienda moja ya umma kipind nipo sekondar kufika mlolongo kibao lazima nijaze form ipigwe muhuri na shule vitambulisho sijui pesa ambayo ni ada ipo ya mwaka,miez na siku mpaka mtu ukamilishe hivyo ushapoteza muda wa kutosha
Hata mi nilishangaa. Nilikwenda hiyo ya kwenu hapo Mwanza. Nikapitiliza moja kwa moja mhudumu akaniangalia baadaye akanifuata na kuniambia kuwa ilibidi nilipie buku moja au nilipe ada ya mwaka ya elfu 20 sijui halafu niwe na kitambulisho. Nikajiuliza sana kuwa iweje kwenye taifa ambalo tunalalamikiana kuwa watu wetu hawasomi vitabu kuwe na ada na masharti kibao maktabani. Niliongea na yule mhudumu kwa kina na akasema sheria hiyo ilipitishwa miaka 10 iliyopita na akaniruhusu nijisomee bure kwa siku hiyo.
 
Ilikuwa tarehe kama ya leo...Meli yetu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 782506
Muda umeenda ila tukio halisahauliki.
Nakumbuka niliimuumiza sana mamaangu mkubwa (r.i.p) maana wenzangu wa masomo ya arts walimaliza mapema na kurudi nyumbani, mamaangu akajua nimeenda Bukoba kwa mshua.
Tarehe 25 nilisafirishwa utadhani mtuhumiwa. Rip ACP Mwabwala [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mungu azirehemu roho za marehemu wote [emoji120] [emoji120]
 
Hata mi nilishangaa. Nilikwenda hiyo ya kwenu hapo Mwanza. Nikapitiliza moja kwa moja mhudumu akaniangalia baadaye akanifuata na kuniambia kuwa ilibidi nilipie buku moja au nilipe ada ya mwaka ya elfu 20 sijui halafu niwe na kitambulisho. Nikajiuliza sana kuwa iweje kwenye taifa ambalo tunalalamikiana kuwa watu wetu hawasomi vitabu kuwe na ada na masharti kibao maktabani. Niliongea na yule mhudumu kwa kina na akasema sheria hiyo ilipitishwa miaka 10 iliyopita na akaniruhusu nijisomee bure kwa siku hiyo.
Tena hio elfu 20 sio unalipa na kuruhusiwa yaan hapo labda uwe na ngozi nyeupe(mzungu)hivi hivi utatakiwa kupeleka barua ya baloz sijui mwenyekiti wa mtaa,mhuri wa mtendaji wa kata. Nilienda mbili hapa koromije na mkoa mwingine pote hivyo hivyo na wanavyokuangalia sasa hamu yote ya kujisomea inaisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], poleee
 
Back
Top Bottom