myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
James Buchanan, the 15th U.S. president continuously bought slaves with his own money in order to free them.
Kuanzia leo ule muda wa kuangalia TV wote nitakuwa nautumia kupiga mbonji.You burn more calories sleeping than you do watching television
Safi kabisa omarion napambana na hali yangu tukwema Ledada,
habari za mishe mishe?
Kwanini aombe nywila zangu?? Kama haniamini kwanini alinifanya mpenzi/mke??Vyote. Ukigoma ina maana kuna mambo unaficha unalimwa talaka. Ukitoa kuna mambo mabaya yanakutwa humo unalimwa talaka pia [emoji16][emoji16][emoji16]
HATUPOI[emoji23]noma sana
[emoji23][emoji23][emoji23], eti jamani, ni hiyo ni sawa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pengine wakati anakutongoza ulikuwa huna nywila (ulificha) lakini baada tu ya kukufikisha ndani nywila mpaka kwenye friji na TV...[emoji16][emoji16][emoji16]Kwanini aombe nywila zangu?? Kama haniamini kwanini alinifanya mpenzi/mke??
Aiseee hicho sijakielewa brathee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shiro mpenda viatu; hichi unakionaje?
View attachment 782503
Wachaga wanasalimia kabisa "shkamoo mtoto"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]