Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapendwa wa Bwana, siku yenu inaendeleaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio asee hata jina tu sisemi [emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani uko radhi ukabidhi nywila zoootee nizijuazo lakini sio huku..[emoji23][emoji23].
Umeamka salama?
Mungu anasaidia, vipi kwema huko?Wapendwa wa Bwana, siku yenu inaendeleaje?
Niko njema kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio asee hata jina tu sisemi [emoji124][emoji124]
Nimeamka poa maa za kwako?
[emoji144][emoji144]Niko njema kabisaaa
Huku kwema kabisa Shiro. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu anasaidia, vipi kwema huko?
[emoji120][emoji120][emoji144][emoji144]
Yaani nikigoma kutoa nywila ndoa inavunjika?? Au nikitoa nywila napelekea kuvunja ndoa yangu?Kuna ndoa zinavunjika sababu ya nywila aisee...
Kwa upande wangu yaenda poa kabisaWapendwa wa Bwana, siku yenu inaendeleaje?
Vyote. Ukigoma ina maana kuna mambo unaficha unalimwa talaka. Ukitoa kuna mambo mabaya yanakutwa humo unalimwa talaka pia [emoji16][emoji16][emoji16]Yaani nikigoma kutoa nywila ndoa inavunjika?? Au nikitoa nywila napelekea kuvunja ndoa yangu?
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Huku kwema kabisa Shiro. TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Yaani nikigoma kutoa nywila ndoa inavunjika?? Au nikitoa nywila napelekea kuvunja ndoa yangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vyote. Ukigoma ina maana kuna mambo unaficha unalimwa talaka. Ukitoa kuna mambo mabaya yanakutwa humo unalimwa talaka pia [emoji16][emoji16][emoji16]