omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
Consigliere remember we spoke about this last year, What of our fallen heroes in Congo ???Magufuli kajiunga na maharamia wageni wanaovuna magogo & madini na kumwaga damu DRC na sasa anataka kuwapa tenda kuvuna mamilioni ya miti Selous. Anafahamu hawezi tena kuvuka 2020 ndani na nje ya CCM kwa utendaji na uadilifu bali kwa rushwa na ameamua kujikusanyia fedha.
Daud T. Balali
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri omarion za kwako?wadau habari za asubuhi
Ushamba ni kutojua how the systems work. Mtu anadhani yanayofanywa ni siri itakayobaki fumbo kama utatu mtakatifu ulivyo. Anajua ni siri iliyo salama sababu wanaongea ndani ya kuta imara zilizozungukwa na wana usalama na kila chombo cha kuhakikisha usalama.Consigliere remember we spoke about this last year, What of our fallen heroes in Congo ???
Muda ni msema kweli....Ushamba ni kutojua how the systems work. Mtu anadhani yanayofanywa ni siri itakayobaki fumbo kama utatu mtakatifu ulivyo. Anajua ni siri iliyo salama sababu wanaongea ndani ya kuta imara zilizozungukwa na wana usalama na kila chombo cha kuhakikisha usalama.
Asichokijua ni kwamba blackmailing hufanyika katika mazingira hiyo na si vinginevyo.
[emoji23][emoji23]Kangaroo katika ubora wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntakabidhi nywila zote ila sio za huku [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pyaar sitaki uchokozii muone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji23][emoji23]Kangaroo katika ubora wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani uko radhi ukabidhi nywila zoootee nizijuazo lakini sio huku..[emoji23][emoji23].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pyaar sitaki uchokozii muone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124]
Kuna ndoa zinavunjika sababu ya nywila aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani uko radhi ukabidhi nywila zoootee nizijuazo lakini sio huku..[emoji23][emoji23].
Umeamka salama?