myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Prince William and Kate Middleton got married on the same day as Adolf Hitler and Eva Braun.
Aisee, mie simpi , kama ni kuchapwa talaka bora nichapwe tu..Ya ATM nitatoa lakini sio kwingine[emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea na imani mliojengeana maa kama hamuaminiani lazima mtaombana nywila tu.
Library za huku jaman acha tuwe wavivu wa kujisomea. Nilienda moja ya umma kipind nipo sekondar kufika mlolongo kibao lazima nijaze form ipigwe muhuri na shule vitambulisho sijui pesa ambayo ni ada ipo ya mwaka,miez na siku mpaka mtu ukamilishe hivyo ushapoteza muda wa kutoshaYap. Na utakuta vizee vimejaa humo vinajisomea. Fomu zote muhimu kwa huduma za umma zimo kwenye kompyuta na mambo ya kila aina....
View attachment 782507
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo wataka waazimane??Jamaniii [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nae "konokono " mjinga sana, kwa nini apate maumivu makali wakati ndugu yake parachichi ana mafuta ya kutosha?
[emoji124] [emoji124] nashangaa kwanini watu wanasema hesabu ni somo gumu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pengine wakati anakutongoza ulikuwa huna nywila (ulificha) lakini baada tu ya kukufikisha ndani nywila mpaka kwenye friji na TV...[emoji16][emoji16][emoji16]
Wasted sperm [emoji16][emoji16][emoji16]Adolf Hitler’s mother seriously considered having an abortion but was talked out of it by her doctor
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akishajua ya simu huku kwingine anajisevia tu anavyo taka.Aisee, mie simpi , kama ni kuchapwa talaka bora nichapwe tu..Ya ATM nitatoa lakini sio kwingine[emoji23][emoji23][emoji23]