myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kila mtu ni muhimu
Sawasawa..Tukiweka mfano rahisi kama Jua ni mpira wa tennis uko katikati ya jiji la Dar es salaam basi Proxima centauri ni mpira mwingine wa tenis ukiwa katikati ya jiji la maputo Maputo umbali wa karibia kilomita 1600.
Asante mkuuPoleni wenye mfungo wa ramadhani