...and many of us don't like change...because change is uncomfortable and unpredictable.
Kabisa jirani. Sijaelewa hasa mhimili wa hoja ya hawa wapigania rangi ni nini.Ningeshangaa kama wangekua na damu ya njano!!! Binadamu wote tuko sawa kwa mungu...
Hizi rangi haziongezi utukufu...