Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunaposema magonjwa yasiyoambukiza maana yake hayatoki kwa mtu na kwenda kwa mtu na yanakuwa kwa muda mrefu hivyo tunasema ni sugu. Magonjwa sugu hata matibabu huchukua muda mrefu ambapo kitaalam tunaita ‘Chronic Care Management’. Ni magonjwa ambayo huanza taratibu na hukaa muda mrefu ambapo mgonjwa hupata nafuu ya muda na wakati mwingine unalipuka tena.
 
Ni mara yangu ya kwanza kukuona huku mkuu. Karibu sana na tushushie nondo hizi tuzidi kujifunza...
 
Hata kama alikuwa mweusi so what bro?

Haya Musa, Daudi, Sulemani, Mtume na mashujaa wengine wa imani wote walikuwa weusi, then what bro? Italeta mvuvumko wa kifikra na kumtoa mtu mweusi katika utumwa wa kifikra na kisaikolojia alionao ama?
Ningeshangaa kama wangekua na damu ya njano!!! Binadamu wote tuko sawa kwa mungu...
Hizi rangi haziongezi utukufu...
 
20180522_092943.jpg
 
Back
Top Bottom