Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

05080c0d-ba8b-4a51-ad10-866b00bda02a.jpg
 
Baraza la Wataalamu wa Maabara za Afya nchini limesema wataalamu 71 wa maabara waliowasilisha vyeti vya kwa ajili ya usajili, wamebainika kuwa na vyeti vya kughushi.

Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Mei 22, 2018 katika mkutano kwa vyombo vya habari kuhusu majukumu ya msajili wa baraza.

Wizara ya Afya imebainisha kuwa wataalamu hao walikuwa kazini lakini baada ya baraza hilo kuvitaka vyeti vyao ikabaini vilighushiwa
 
Back
Top Bottom