Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Msajili wa Baraza la Wataalamu wa Maabara, Theophil Balibiche amesema walibaini kuwa wengi wao hawakusoma kabisa, lakini walikuwa wakitoa huduma katika maabara mbalimbali kote nchini.
“Baraza kwa sasa linatengeneza nembo maalumu ambazo zitamtambulisha mtaalamu wa maabara aliyesajiliwa, huku tukiongeza wigo zaidi wa kuwabaini wale wote wanaoghushi vyeti ili kuhakikisha jamii ya Watanzania inapatiwa huduma za afya zenye Tina,” amesema Balibiche.