Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Picha zingine hazifai mkuu. Common sense please !
Na gift yako pia.Hewala,uuuuh thanks in advance honey.
Aisee mtamuua andjulWivu tena? Kwako bageshi? Na Andjul afanye nini sasa? Huko aliko naamini hali ni mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Alikuwa anatania tu
Hahhah ngoja nifumbe macho nisione.Na gift yako pia.
Aaaaah(nimejikuta nasema wakati ni nataka iwe suprise)
Are you serious?natangaza rasmi mpenzi anaitajika
Tumeamka mama hofu yangu kwako tu umeamkaje?Mmeamkaje wana uzi
Mungu awe pamoja nanyi mkasafiri salama.Safari njema mkuuHata me niko safarini nitakieni heri
Afe tu,namtakia matanga mema.hahhaa.Aisee mtamuua andjul
Afadhali umesema..sio kila kitu wanaposti hapa. Watu wanawaza mademu wao wanakatwa stimu na picha za kutisha.Picha zingine hazifai mkuu. Common sense please !
Mkuu sijabahatika kabisa kukutana navyoVichwa vya habari leo vyasemaje?
Tufanye mpango kakaTupo wengi
Why not?Are you serious?
Pata like toa like post chochote upate likenipeni na mm jmn
Hahahaha mzee wa dataMzee wa data nakukubali
Umeanza na ww?Tumeamka mama hofu yangu kwako tu umeamkaje?
Sasa mimi sina hata mmojaKwahyo ukatumia hiyo advantage