capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kwema kabisa mkuu, wewe je?Vizuri kusikia hvyo!!
Vipi kwema lakini?
Asante sana mkuuAaaaaah, karibu sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baba huwa hataki aingiliwe,tena mama akimzuia sana baba, kesi inaweza kumgeukia, "wew ndo unampa kiburi huyu mtt, huwa nakutzama tu unavyo mdekeza"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], halafu nyie siku mkimchapa mtoto mama akiingilia kati Baba anamgombeza mama " wewe walemaze tu"
sio rahisi kujua unless kijana amwambie ila kama mzazi yakupasa utoe angalizo na elimu japo hujui ama huna hakika kama kijana ana angalia ponogarph au laa. vijana wanaobarehe wengi wao wanaingia kwenye janga hili la kupungukiwa nguvu za kiume sababu huwa wanahemkwa sana wanapoona Ponograph. na ndipo tatizo linapoanzia. zaman kulikuwa hakuna Smartphones tablet na midaharishi ndio maana tatizo hilo HalikuwepoKwani muda huo mzazi anakuwa anajua kama kijana anajichua???
Kwema pia, tunamshukuru Mungu!! tunavuna mpunga tu!! [emoji16][emoji16]Kwema kabisa mkuu, wewe je?
Hongera kwa kuipenda Korea,ila kuna mjinga mmoja anajifanya kidume wa dunia,hataki kuona wanaume wenzie wawe hata na shoka nyumbani kwao ili iwe rahisi kuwavamia kama alivyowafanyia Sadam na Gadafi.Pumbavu zake huyu USANaipenda Korea
Am cool, miss you so tight.Poaa omarion niaje!?
Miss u too
[emoji23][emoji23][emoji23]sawaa ntafanya maombi pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja ntajitahid kusahau
Ya upendo[emoji23] [emoji23] sijui mapenzi[emoji23] [emoji125]Barua ya nini tena jamani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa shiro!![emoji23][emoji23][emoji23]sawaa ntafanya maombi pia
bado kuna watu wanaandikiana barua karne hiiYa upendo[emoji23] [emoji23] sijui mapenzi[emoji23] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata sijaonaYa upendo[emoji23] [emoji23] sijui mapenzi[emoji23] [emoji125]