capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
RB ya ukweli ilikuwa kwa hawa watu, kuna ngoma moja inaitwa in those jeans kama sijakosea ni ya Ginuwine
Tualikane bwana...Kwema pia, tunamshukuru Mungu!! tunavuna mpunga tu!! [emoji16][emoji16]
karbu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] poa ntakualika next time, nilijua hautaweza kuweka miguu kwenye matope(kuzika miguu) na ili hali bado mzima [emoji23][emoji23]Tualikane bwana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuvuna mpunga sharti uzike miguu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] poa ntakualika next time, nilijua hautaweza kuweka miguu kwenye matope(kuzika miguu) na ili hali bado mzima [emoji23][emoji23]
[emoji91][emoji91]Craig David- Magic
Ndioobado kuna watu wanaandikiana barua karne hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hata sijaona
Sanduku langu la posta muda sijalifungua, hata sijui niliweka wapi UFUNGUO[emoji23]
Aaaaw thank you[emoji9]Am cool, miss you so tight.
Justine Timberlake- Breeze off the pond
Na audio basi Malcom[emoji120]
Ewaaaaaaaaa, this Album is lit!
Na audio basi Malcom[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio, kwani wee unajua wanavuna vipi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani kuvuna mpunga sharti uzike miguu??
kwasababu nimekuona hope nitakuwa powa.Aaaaw thank you[emoji9]
Vipi lakini uko poa?
Braza Shikamoo.kwasababu nimekuona hope nitakuwa powa.
Naomba nielewe wavunia mkoa gani halafu nitakujibu swali lako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio, kwani wee unajua wanavuna vipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jizazi! mkoa tena (in shimba's voice)Naomba nielewe wavunia mkoa gani halafu nitakujibu swali lako.
Ukweli Mtupu %100Hongera kwa kuipenda Korea,ila kuna mjinga mmoja anajifanya kidume wa dunia,hataki kuona wanaume wenzie wawe hata na shoka nyumbani kwao ili iwe rahisi kuwavamia kama alivyowafanyia Sadam na Gadafi.Pumbavu zake huyu USA