Wide_awake
Member
- Aug 28, 2011
- 54
- 40
Andaeitini nawe na enzi zenu wapi na wapi? Maandaeitini wa humu mna vituko dah! Father time is there subirini tu haraka ya nini? 15 yrs itafika sasa hivi hapo ndipo mtakuwa angalau na kakredibilite kidogo ka kurejelea historia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi aibu hakuna kabisa...Enzi zetu mwanaume akikutokea siku ya kwanza unajikanyaga kanyaga kujibu, Ooh! nawahi nyumbani nimechelewa, nyumbani nasubiriwa..[emoji23][emoji23]..Ukija kumuona mara ya pili kama hajakuona unatimua mbio kujificha[emoji23][emoji23][emoji23]