Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,312
Likes tunakupa japo una RohombayaDah.... Nigongeeni like wadau moyo wangu upate burudiko [emoji13]
Sent using beretta ARX 160
Ni kweli bonge la ubinafsi, lakini kuna baadhi ya wake wakishajua kiwango cha mshahara ndiyo imekuwa stori mtaa mzima
Safi kabisaKula matunda na mbogamboga kwa wingi
Vyakula hivi husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini, hivyo kujikinga na maradhi mbalimbali. Vyakula hivi pia huupatia mwili makapi-mlo ambayo humfanya mtu ajisikie kushiba na kumfanya ale chakula kwa kiasi kidogo hivyo kupunguza uwezekano wa kuwa na uzito uliozidi au unene.
Safi sana mkuuKula vyakula vyenye makapi-mlo kwa wingi
Makapi-mlo husaidia mfumo wa chakula kufanya kazi kwa ufanisi. Pia husaidia mtu kupata haja kubwa kwa urahisi na huchangia katika kupunguza uwezekano wa kuongezeka uzito, kupata baadhi ya saratani, magonjwa ya moyo na kisukari.
Ongeza kiasi cha makapi-mlo kwa kula matunda na mbogamboga kwa wingi, nafaka zisizo kobolewa kama unga wa dona na ngano na vyakula vya jamii ya kunde
Sawa kiongozi, ubarikiweEpuka vyakula vyenye mafuta mengi
Mafuta hutoa nishati lishe kwa wingi hivyo husababisha ongezeko la uzito kwa haraka. Ulaji wa mafuta mengi hususani yenye asili ya wanyama huchangia katika kuongeza kiasi cha mafuta katika damu hususani lehemu na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata maradhi sugu kama magonjwa ya moyo, kisukari na shinikizo kubwa la damu.
SawaEpuka kutumia sukari nyingi
Sukari huongeza nishati-lishe bila virutubishi vingine mwilini. Punguza kiasi cha sukari kwa kuepuka vinywaji vyenye sukari nyingi na kunywa juisi halisi ya matunda, togwa au vinywaji vya viungo. Epuka vyakula vyenye sukari nyingi kama vile jamu, biskuti, keki, chokoleti, kashata na pipi.
Vema mkuuEpuka vyakula vyenye chumvi nyingi
Ulaji wa vyakula vyenye chumvi nyingi huongeza uwezekano wa kupata shinikizo kubwa la damu na baadhi ya saratani. Matumizi ya chumvi huweza kupunguzwa kwa kutumia chumvi kidogo wakati wa kupika, kuepuka vyakula vyenye chumvi nyingi au vilivyosindikwa kwa chumvi. EPuka tabia ya kuongeza chumvi kwenye chakula wakati wa kula (mezani).
Sawa kabisaKunywa maji safi, salama na ya kutosha
Inashauriwa kunywa maji angalau glasi nane(lita moja na nusu) kwa siku. Maji ni muhimu sana mwilini kwani:
- hurekebisha joto la mwili,
- husaidia uyeyushaji wa chakula,
- husafirisha virutubishi kwenda kwenye seli na kuondoa mabaki au uchafu mwilini kwa njia ya jasho, mkojo nk.
- Husaidia pia kulainisha maungio ya mwili.
Mmmh, maiti inawezaje kumpa uja uzito!!!
Nasikia hao wana Fiji ni ndugu zetu asili yao ni Tanganyika.Village women chant songs to entice turtles to shore, Namuana, Kandavu, Fiji Islands, by Luis Marden.
View attachment 785393
The Badlands episode ya ngapi mkuu?I'm watching Into The Badlands by now