Wataosha sakafu kwa ulimi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Zahir mkuu ilikuwa ni ile inaongozwa na yule mwarabu Salum, 1984-1996. Lakini sasa ni muhindi mmoja mchafu hajui chochote, pamekuwa mahali pa ovyo kabisaDaa, ile ilikuwa sehemu maridadi sana aisee!
Mmmmh hapana, safari hiyo na kifo mkononi, ukiingia kwenye shabaha yake lazima utalia tuSafari siyo kifo...
View attachment 785374
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] burudika mkuuDah.... Nigongeeni like wadau moyo wangu upate burudiko [emoji13]
Sent using beretta ARX 160