Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anhaaaa Ameimba na Nemooo, Si ndiyo ???
Unaanza kusema Habari gani Mabibi na Mabwanaa.
Aiseee, nimeshakumbuka. Hivi Nemo yuko wapi siku hizi, Bado anaendelea kutangaza?
Kijana tena nakuja kuchana, natokea jiji la dar es salama na nina thamani ya juu kama gari la hummer.......

Ndio hiyo hiyo mkuu .... hahah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…