myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Konstantin Ustinovich Chernenko
Yuri Vladimirovich Andropov
point takenJukumu la kuwepo maisha bora katika jamii zetu linatuhusu wote bila kujali kiwango cha elimu ulichonacho, mali, umaarufu, udhaifu ulionao au imani uliyonayo. Tambua thamani yako na uitumie kutengeneza kumbukumbu yenye manufaa katika jamii yako. Unajua kila unachowafanyia watu huwa kinafyatua vipande vya kumbukumbu tofautitofauti kuhusu wewe!
Huyu jamaa angetawala Urusi hadi kufika 1987 basi lazima wangezichapa na Marekani.Yuri Vladimirovich Andropov
Aiseeee...""Pengine inawezekana tukaona kuwa kuna sababu za kuwalaumu watu kwamba walihusika kuyaharibu maisha yetu; lakini je tuliwahi kujiuliza ni hatua gani tulichukua kuzilinda thamani zetu!?
Iosif Vissarionivich Dhughashvilli.Joseph Vissarionovich Stalin