Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah!! Hakika bro
lakini tofauti na hilo kingine kinacho waangusha " Hawa wasanii wengine ni investment" focus..na ubunifu ..."" hata kama utakuwa mvunja Nazi kama utakosa hivyo vitu " tunguli lazima likumwage "" maana litaona kuwa linambeba mtu asiye bebeka..." wasanii wengi mnooo wa kibongo wanapenda kufanya kazi kishikaji ..nasio kibaishara"" anapeleka wimbo katika station "then anashindwa kuongea kwa herufi kubwa Anataka mtangazaji Fulani " kwamuwa nimtu wake ambebe...ana sahau kuwa mtangazaji naye nimuajiriwa ambaye yupo chini ya uongozi Fulani "" mwisho wa siku uongozi utahitaji kuona umewaingizia mapato "".....shida inakuja mtangazaji anaweza akapambana na kukupa airtime ila wimbo ukisha hit ....unaota mbawa"" unakula bata kimpango wako " halafu ukibuma unakwenda tena kulia lia ....
 
Back
Top Bottom