Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852901395_50026.jpg
 
acha kabisa hiyo tasnia " kama " huna imani ya kupiga ndele. na wala hauwezi " kupiga " basiii kaa kushoto" maana hata kama utakuwa msanii" utakuwa huna mvuto " muda wote utakuwa umefubaa tu " kama shati la mkulima wa jembe la mkono """......Hao madogo msione wanatamba tu " kwa kuvunja Nazi njia panda na kuchinja mbuzi hawajambo
Hahah!! Hakika bro
 
Nemo nilikutana naye miaka ya Nyuma kidogo alikuwa anafanya kazi kwenye Radio ya Mzee Mfugale kule Iringa.
Sijawahi kumsikia tena akitoa nyimbo.....
mnamo mwshoni mwa mwezi wa nne Ali toa wimbo wake mpya "" clouds ...akafanyiwa na interview kabisa...lakini nimeusahau jina "" na dhani " bado hajapata management nzuri yakuweza kumvuta mkono .....""but jina la wimbo nimelisahau
 
Back
Top Bottom