Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
[emoji106][emoji106], twende kaziKwemaaa
Sumu ya panya ..sumu ya panya" nauza sumu ya panya "" ya mende " kunguni " na viroboto..Nauza pesa mbovu Pamoja na dollar
Nemo nilikutana naye miaka ya Nyuma kidogo alikuwa anafanya kazi kwenye Radio ya Mzee Mfugale kule Iringa.kuna mtu anaitwa Nemo humo kwenye chorus
Whats up with Indians and Mathematics ????Kuna wengi wanaamini mwanahisabati huyu wa Kihindi hakuwa mtu wa kawaida. Alitoa mchango mkubwa sana katika uwanja wa Hisabati pamoja na kwamba mwenyewe hakusoma hisabati popote maishani mwake. Watu wanaoamini katika aliens huwa wanamtumia kama mfano...
View attachment 785681
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
acha kabisa hiyo tasnia " kama " huna imani ya kupiga ndele. na wala hauwezi " kupiga " basiii kaa kushoto" maana hata kama utakuwa msanii" utakuwa huna mvuto " muda wote utakuwa umefubaa tu " kama shati la mkulima wa jembe la mkono """......Hao madogo msione wanatamba tu " kwa kuvunja Nazi njia panda na kuchinja mbuzi hawajamboHahah!! Aisee...
Ila inawezekana mana ata watu wanaorun game nishasikia mara kadhaa wakihusishwa na hizo shutuma na mwingine alikubali kabisa kua anapiga ndele.....