hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
wale walikuwa vizazi vingine kabisa..ardhi imemeza vichwa kwelikweliNdiyo lilikuwa linajisifia hivyo.....Nikita bwana!
Alienda UN, Balozi wa Marekani alivyoanza kuongea akavua viatu akaanza kupiga juu ya Meza.