Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ali baba
Aaah ile inaitwa VALOR ,imeishia Season 1 pekeeInaanza na letter V for now haiendelei ilikuwa season 1 tu,
Yaap ni yenyeweAaah ile inaitwa VALOR ,imeishia Season 1 pekee
Ni poa shiro,, uko fresh ww?Kasmart niaje
Iko vizuri bro, kuna sehemu niliziona hz ila bado sijaztzama The Rain na The LOOMING TOWER,, vp umeziangalia hz unipe Update kdogoYaap ni yenyewe
ZaituniTunda gani hili?
Tupendane na kuvumiliana pia,hivi huyo mwanaume hakuwahi kukaa na njaa hata kwa nusu siku?. Naona kifo alikitaka mwenyewe,kafa kizembe sana.MKE anadaiwa kumuua mumewe, Ahmed Salim kwa kumchoma kisu baada ya kumlazimisha kurudi jikoni kupika chakula baada ya kutoshiba mkoani Mtwara.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Lucas Mkondya, alisema tukio hilo lilitokea juzi mkoani humo ambapo mwanamume huyo alikufa papo hapo baada ya kuchomwa kisu na mke wake.
Alisema siku ya tukio majira ya saa 1:30 usiku, mwanamke huyo alimuandalia mume wake chakula na kumpatia.
“Kile chakula kilikuwa kidogo, mume wake, Ahmed Salim, alimtaka arudi jikoni kwa ajili ya kupika tena chakula kwa kuwa hakikumtosha. Hapo ndipo palitokea ugomvi wakalumbana na wakaendelea kugombana, mke alichukua kisu na kumchoma kifuani na kufariki dunia papo hapo baada ya kutokwa na damu nyingi kwenye jeraha.” alisema Kamanda Mkondya.
Niko rada hofu kwako kasmartNi poa shiro,, uko fresh ww?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi mzima shiroNiko rada hofu kwako kasmart