Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa vision hii ndoto hizo zitakamilika tu. Kiroho tunashauriwa sana kuwa na vision ya kile tunachokitaka maishani mwetu. Iandike ndoto yako. Ichore ukiweza halafu kila siku isalie na umwombe Mungu akuweke salama na kukudhihirishia ndoto hiyo. Halafu nenda ukachape kazi kwa bidii sasa huku ukijifunza na kujibidisha kuifikia ndoto hiyo.
 
10526089_464501740353960_1333187506459099746_n.jpg
 
Back
Top Bottom