myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mimi??nichikichie??[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitake radhi yego,tafadhali.
Tanesco walichonifanya jana Mungu anawaona
Mkwara mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Colgate mpya kabisa mtu umejitutumua ukanunua halafu unakuta imeminywa katikati dah !!!
Hahaha aisee, hadi kutajana na majina,, atakuwa mdaiwa sugu huyu
Kwa vision hii ndoto hizo zitakamilika tu. Kiroho tunashauriwa sana kuwa na vision ya kile tunachokitaka maishani mwetu. Iandike ndoto yako. Ichore ukiweza halafu kila siku isalie na umwombe Mungu akuweke salama na kukudhihirishia ndoto hiyo. Halafu nenda ukachape kazi kwa bidii sasa huku ukijifunza na kujibidisha kuifikia ndoto hiyo.
Ewaaaaaa nangoja magharibi iingie[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]naja chaaapNjoo basi! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]... Hachikichii mtu hapa, eeh! Tanesco wamefanya nini tena?
hujamboooooo.....