Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IGP Simon Sirro amesema karibu watu watano waliotolewa gerezani kwa msamaha wa rais Magufuli wameripotiwa kuuwawa na wananchi wenye hasira kali.

Amesema hali hiyo inamaanisha wengi wanapoachiwa badala ya kuwa raia wema wanakuwa raia wabaya
 
Viashiria hatarishi vya Kisukari cha mimba
  • Kuwepo na historia ya kuwa na kisukari katika familia
  • Kuwahi kujifungua mtoto mwenye uzito mkubwa
  • Mimba kuharibika mara kwa mara
  • Historia ya kisukari cha mimba
  • Mkojo kuwa na sukari mara kwa mara
  • Kuzaa mtoto mwenye ulemavu(congenital anomalies)
  • Kuzaa mtoto mfu
  • Uzito au unene uliokithiri
  • Shinikizo kubwa la damu la muda mrefu
  • Umri zaidi ya miaka 35
 
Neil Harbisson raia wa Uingereza anashikilia rekodi za dunia za Guiness kuwa binadamu wa kwanza kupandikiziwa Antena kwenye fuvu la kichwa.

Antenna hiyo ina uwezo wa kubadilisha mawimbi ya mwanga kuwa ya sauti na kuyasafirisha mpaka kwenye mfumo wa sikio.
 
DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI
  • Kukojoa mara kwa mara
  • Kuhisi kiu sana
  • Kuhisi njaa sana
  • Kuhisi uchovu wa mwili na kukosa nguvu bila kufanya kazi
  • Kupungua kwa uzito wa mwili na kuwa mdhaifu
  • Kutoona vizuri
  • Kuhisi kizunguzungu
  • Kuwa na maambukizi ya ngozi na vidonda visivyopona haraka
  • Kuhisi ganzi katika baadhi ya viungo vya mwili kama vidole vya miguu/mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…