Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Kichwa cha zidane (2006) .

Hii ni moja ya kumbukumbu iliyoweka na nguli wa mchezo huu ambae ni kocha wa real madrid kwa sasa zinedine zidane baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa italia marco materzazzi katika dakika ya 110 (extra time) baada ya kusemekana alimtolea maneno machafu kuhusu dada yake
 
2.Rene higuita alivyoiponza colombia .

Higuita ni moja ya makipa bora kuwahi kutokea kwenye mchezo wa soka na alifahamika kwa mbwembwe zake za kuokoa mipira golini kwake pia kuisaidia timu kwenye mashambulizi pale inapohitaji kushinda. ilikuwa kombe la dunia mwaka 1990 mechi dhidi ya cameroon kama kama kawaida yake alisogea mpaka katikati ya uwanja na akapewa basi na moja wa beki zake katika harakati za kutuliza mpira huo aliukosa na Rogger milla akauchukua mpira na kwenda kufunga na kuwapatia cameroon ushindi.
 
Kombe la dunia ni moja ya tukio ambalo huwa linasubiri sana kwa hamu katika matukio yaliyopo duniani. Ni moja ya mashindano ambayo huwavutia hata wale ambao sio wapenzi wa mchezo huo murua wa mpira. Tukiwa tumebakiwa na siku 28 kuelekea kwenye mashindano kule Russia unaweza kuwa umeyaona matukio mengi sana katika world cup zilizopita lakini kama hufahamu hizi ndio historia tata na za kufurahisha katika mashindano haya.
 
1.Kichwa cha zidane (2006) .

Hii ni moja ya kumbukumbu iliyoweka na nguli wa mchezo huu ambae ni kocha wa real madrid kwa sasa zinedine zidane baada ya kumpiga kichwa mchezaji wa italia marco materzazzi katika dakika ya 110 (extra time) baada ya kusemekana alimtolea maneno machafu kuhusu dada yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…