Yeah its you gurl![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Are u talking to me au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nakuona katika ubora wako, lemtindizi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
I was jus writting tuuu
Itakuwa poa sana ukimalizia[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]sijui nimalizie
Ukifichwa rahaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ufichwe humo ushindwe kupumua
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Awesome una kumbukumbu safi kabisa mkuu
Kwani huku kunaeleweka basi?
Wakiamua kukata wao wanakata hata kutwa mara 70,tushazoea[emoji30][emoji30]
Wapi huko???Kwani huku kunaeleweka basi?
Wakiamua kukata wao wanakata hata kutwa mara 70,tushazoea[emoji30][emoji30]
Hahah!!BARCELONA inapotajwa tu, basi jina la harakaharaka linalokuja akilini ni la Lionel Messi, labda hadi hapo Muargentina huyo atakapoondoka Nou Camp.
Neymar uvumilivu ulimshinda akaenda kuliweka jina lake kwenye chati za juu huko PSG na sasa imefichuka woga wa kwenda kufichwa na kivuli cha Messi ndilo suala linalodaiwa litazuia uhamisho wa Antonio Griezmann kwenda Barcelona.
Duh aiseeKama sijasahau nadhani aliporudi nyumbani aliuawa ...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]So why tryna hide from it
You just write them all boobs and etc
HatariCha kushangaza higuita alibaki anadunda mtaani ila escobar alipigwa risasi kisa kajifunga katika world cup 94 marekani.