Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sanaaa hawafai
Ila.mostly ni magonjwa ya akili
Aaaa wapi. Majumbani huko akina baba wengi ni madikteta tu familia baba akija amani inakosekana. Sijui kwa nini tunawategemea wakipata madaraka wawe tofauti. Demokrasia inaanzia kwenye familia na jamii zenye demokrasia yenye afya (mf. Skandonavia na Ulaya) ukichunguza vizuri utaona kuwa mizizi yake inaanzia kwenye familia na kujipenyeza katika taasisi nyingine.
 
Uko sawa kaka
Ila mental cases zipo nyingi pia kwenye hilo
 
Back
Top Bottom