Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro women themselves should be more careful
Mimi makosa ambayo siwezi kukusamehe ni upelekewe moto na mwanamme mwingine siwezi samahe mwanamke wangu kwa hilo
Bro umenichekesha kama vile mazuri. ...Eti "upelekewe moto"...Hiyo inauma sana japo wanasemaga kuchapiwa ni siri ya ndani.

Hubby kachimba mkwara mama amekimbilia polisi...Hovyo kabisa...
 
Steven Thompson, 33, yeye anafunga ndoa leo, amekata tiketi ya ndege ya kwenda na kurudi ambapo mpango ni arejee Jumapili ili aende kwenye fungate na ambaye sasa atakuwa mkewe Bi Rachael.
Rachel amekubali mumewe aende akatimize mapenzi yake kwa mpira wa miguu lakini arejee jumapili waende fungate Australia. Sasa Steven anasema sawa huyu ameniruhusu na huenda amekasirika kiasi, ila hofu yangu ni ikiwa nitaikosa ndege ya jumapili.
Fainali ya klabu bingwa ulaya inapigwa hapo kesho, Nani ataibuka na kicheko? Christiano Ronaldo na Real Madrid yake au Mohamed Salah na Liverpool?
Kama naona vile gubu la mwanamke wa kibongo!! Utaenda kiubishi, ukirudi kut....mba mpaka ulipe mahari tena[emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siamini
Nnacho shukuru tu ni sijawa wa mwisho kabsa nna wanyonge wangu
Wewe niamini tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....narejea comment ya bro
20180525_191150.jpg
 
Back
Top Bottom