Hahaha! Unapenda kuchungulia wake za watu eeh?Tumuone vzuri tuu
Hilo kosa hata wakristo talaka ina ruhusiwa kwa kweli uko sahihi bro ni kumwacha tuuYaani mi nimesha jichoresha mbele za watu nimesha unganisha koo mbili Alafu mke wangu amvulie pant jamaa mwingine siwezi kumsamehe wala kumvumilia
Inaumiza sana yaani hapo kamvunjia heshima mume wake, shame on her.Kweli..
Anafaidi kweli?Muacheni mtoto wa watu afaidi
Aaaa wapi. Majumbani huko akina baba wengi ni madikteta tu familia baba akija amani inakosekana. Sijui kwa nini tunawategemea wakipata madaraka wawe tofauti. Demokrasia inaanzia kwenye familia na jamii zenye demokrasia yenye afya (mf. Skandonavia na Ulaya) ukichunguza vizuri utaona kuwa mizizi yake inaanzia kwenye familia na kujipenyeza katika taasisi nyingine.Sanaaa hawafai
Ila.mostly ni magonjwa ya akili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe niamini tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....narejea comment ya bro View attachment 786141
HahahahHahaha!
Hahah! ndio mkuu ni wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama naona vile gubu la mwanamke wa kibongo!! Utaenda kiubishi, ukirudi kut....mba mpaka ulipe mahari tena[emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Muacheni mtoto wa watu afaidi
May be yes...She deserve it
At least her husband should know what a cheat he married
Walio toka nje ya ndoaHahaha! Unapenda kuchungulia wake za watu eeh?
Uko sawa kakaAaaa wapi. Majumbani huko akina baba wengi ni madikteta tu familia baba akija amani inakosekana. Sijui kwa nini tunawategemea wakipata madaraka wawe tofauti. Demokrasia inaanzia kwenye familia na jamii zenye demokrasia yenye afya (mf. Skandonavia na Ulaya) ukichunguza vizuri utaona kuwa mizizi yake inaanzia kwenye familia na kujipenyeza katika taasisi nyingine.
Thank youZOPPA
Numbisa
Pyaaar
ledada
jakitoo
SHIMBA YA BUYENZE
BAK
moudgulf
Cole Williams
ningendako
myoyambendi
Iceman 3D
carbamazepine
Yegomasika
Enlightenment
capitalpool